Luke 2:30 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana kwa macho yangu nimeuona wokovu ulioleta,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana macho yangu yameuona wokovu wako,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa macho yangu yameuona wokovu wako,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nimeona kwa macho yangu namna utakavyowaokoa watu wako.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana kwa macho yangu nimeuona wokovu utokao kwako,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana kwa macho yangu nimeuona wokovu ulioleta,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana macho yangu yameuona wokovu wako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana macho yangu yameuona wokovu wako,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa macho yangu yameuona wokovu wako,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana kwa macho yangu nimeuona wokovu ulioleta,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani macho yangu yameuona wokovu wako,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa macho yangu yameuona wokovu wako,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimejionea mwenyewe wokovu unaotoka kwako,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa kuwa macho yangu yamenona wokofu wako,