Luke 2:32 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwanga utakaowaangazia watu wa mataifa, na utukufu kwa watu wako Israeli.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nuru kwa ajili ya ufunuo kwa watu wa Mataifa na kwa ajili ya utukufu kwa watu wako Israeli.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nuru ya kuwa mwangaza wa Mataifa, Na kuwa utukufu wa watu wako Israeli.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yeye ni mwanga wa kuionesha njia yako kwa mataifa mengine, na atawaletea heshima watu wako Israeli.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mwanga utakaowaangazia watu wa mataifa, na utukufu kwa watu wako Israeli.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwanga utakaowaangazia watu wa mataifa, na utukufu kwa watu wako Israeli.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nuru kwa ajili ya ufunuo kwa watu Mataifa na kwa ajili ya utukufu kwa watu wako Israeli.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nuru kwa ajili ya ufunuo kwa watu wa Mataifa na kwa ajili ya utukufu kwa watu wako Israeli.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nuru ya kuwa mwangaza wa Mataifa, Na kuwa utukufu wa watu wako Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwanga utakaowaangazia watu wa mataifa, na utukufu kwa watu wako Israeli.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ni mwanga wa kuwamulikia wamizimu, ukoo wako wa Isiraeli utukuzwe.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nuru ya kuwa mwangaza wa Mataifa, Na kuwa utukufu wa watu wako Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndio utakaowaangazia mataifa, na kuleta utukufu kwa watu wako Waisraeli.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nuru ya kuwaangaza mataifa, Na kuwa utukufu wa watu wako Israeli.