Luke 2:35 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na hivyo mawazo ya watu wengi yataonekana wazi. Nawe mwenyewe, uchungu ulio kama upanga mkali utauchoma moyo wako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili mawazo ya mioyo mingi yadhihirike. Nao upanga utauchoma moyo wako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe mwenyewe, upanga utaingia moyoni mwako, ili yafunuliwe mawazo ya mioyo mingi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mawazo ya siri ya watu wengi yatajulikana. Na mambo yatakayotokea yatakuumiza, kama upanga unaokuchoma moyoni.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na hivyo mawazo ya watu wengi yataonekana wazi. Nawe mwenyewe, uchungu ulio kama upanga mkali utauchoma moyo wako.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na hivyo mawazo ya watu wengi yataonekana wazi. Nawe mwenyewe, uchungu ulio kama upanga mkali utauchoma moyo wako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili mawazo ya mioyo mingi yadhihirike na upanga utauchoma moyo wako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili mawazo ya mioyo mingi yadhihirike. Nao upanga utauchoma moyo wako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe mwenyewe, upanga utaingia moyoni mwako, ili yafunuliwe mawazo ya mioyo mingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na hivyo mawazo ya watu wengi yataonekana wazi. Nawe mwenyewe, uchungu ulio kama upanga mkali utauchoma moyo wako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe wewe upanga utakuchoma moyoni, kusudi mawazo yao wengi yaliyomo mioyoni mwao yafunuke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe mwenyewe, upanga utaingia moyoni mwako, ili yafunuliwe mawazo ya mioyo mingi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi mawazo ya wengi yanayofichwa yapate kufunuliwa wazi. Na kwa ngambo yako wewe, uchungu utakuchoma moyo kama upanga.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
hatta na wewe upanga utakupenya roho yako; illi yafumike mawazo ya mioyo mingi.