Luke 2:42 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtoto alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili, wote walikwenda kwenye sikukuu hiyo kama ilivyokuwa desturi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa alipokuwa na umri wa miaka kumi na mbili, walipanda kwenda kwenye Sikukuu hiyo kama ilivyokuwa desturi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na alipopata umri wake miaka kumi na miwili, walipanda kama ilivyokuwa desturi ya sikukuu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili, walikwenda kwenye sikukuu kama ilivyokuwa desturi ya Kiyahudi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mtoto alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili, wote walikwenda kwenye sikukuu hiyo kama ilivyokuwa desturi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtoto alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili, wote walikwenda kwenye sikukuu hiyo kama ilivyokuwa desturi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili, walipanda kwenda kwenye Sikukuu hiyo kama ilivyokuwa desturi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili, walipanda kwenda kwenye Sikukuu hiyo kama ilivyokuwa desturi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na alipofikisha umri wa miaka kumi na miwili, walipanda kama ilivyokuwa desturi ya sikukuu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtoto alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili, wote walikwenda kwenye sikukuu hiyo kama ilivyokuwa desturi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye alipopata miaka 12, wakakwea naye, kama walivyozoea kwenye hiyo sikukuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na alipopata umri wake miaka kumi na miwili, walipanda kama ilivyokuwa desturi ya sikukuu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili, akaenda pamoja nao kule kwa sikukuu ile kama ilivyokuwa desturi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta alipopata miaka kumi na miwili, wakapanda kwenda Yerusalemi, kama ilivyokuwa desturi ya siku kuu: