Luke 2:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alikwenda kuhesabiwa pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mjamzito.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alienda huko kujiandikisha pamoja na Mariamu, aliyekuwa amemposa, na alikuwa mjamzito.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili aandikwe pamoja na Mariamu mkewe, ambaye amemposa, naye ana mimba.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yusufu alijiandikisha akiwa pamoja na Mariamu kwani alikuwa tayari amemchumbia ili amwoe. Na Mariamu alikuwa mjamzito.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alikwenda kujiandikisha pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mja mzito.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alikwenda kuhesabiwa pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mjamzito.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alikwenda huko kujiandikisha pamoja na Maria, ambaye alikuwa amemposa naye alikuwa mjamzito.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alikwenda huko kujiandikisha pamoja na Mariamu, ambaye alikuwa amemposa, naye alikuwa mjamzito.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili aandikwe pamoja na Mariamu mkewe, ambaye amemposa, naye ana mimba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alikwenda kuhesabiwa pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mjamzito.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaenda pamoja na mkewe Maria aliyeposwa naye, waandikiwe kodi; naye alikuwa ana mimba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili aandikwe pamoja na Mariamu mkewe, ambaye amemposa, naye ana mimba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alienda kujiandikisha kule pamoja na muchumba wake Maria ambaye alikuwa mimba.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
illi aandikwe pamoja na Mariamu mkewe ambae ameposwa nae; nae ana mimba.