Luke 2:6 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipokuwa huko, siku yake ya kujifungua ikawadia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakiwa Bethlehemu, wakati wa Mariamu wa kujifungua ukawa umetimia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yusufu na Mariamu walipokuwa Bethlehemu, wakati wa Mariamu kujifungua ulifika.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walipokuwa huko, siku yake ya kujifungua ikawadia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipokuwa huko, siku yake ya kujifungua ikawadia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakiwa Bethlehemu, wakati wa Maria wa kujifungua ukawa umetimia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakiwa Bethlehemu, wakati wa Mariamu wa kujifungua ukawa umetimia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipokuwa huko, siku yake ya kujifungua ikawadia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, walipokaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipokuwa kule Betelehemu, wakati wake wa kuzaa ukatimia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ikawa katika kukaa kwao huko, siku zake za kuzaa zikatimia.