Luke 20:15 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakamtoa nje ya lile shamba la mizabibu, wakamuua.” Yesu akauliza, “Yule mwenye shamba atawafanya nini hao wakulima?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo wakamtupa nje ya shamba la mizabibu, wakamuua. “Sasa basi yule mwenye shamba la mizabibu atawafanyia nini wapangaji hawa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamtupa nje ya shamba la mizabibu, wakamwua. Basi, bwana wa shamba la mizabibu atawatendeje?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo wakulima wakamtupa mwana wa mmiliki wa shamba nje ya shamba la mizabibu na wakamwua. Je, mmiliki wa shamba la mizabibu atafanya nini?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wakamtoa nje ya lile shamba la mizabibu, wakamwua.” Yesu akauliza, “Yule mwenye shamba atawafanya nini hao wakulima?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakamtoa nje ya lile shamba la mizabibu, wakamuua.” Yesu akauliza, “Yule mwenye shamba atawafanya nini hao wakulima?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo wakamtoa nje ya shamba la mizabibu, wakamwua.” “Sasa basi yule mwenye shamba la mizabibu atawafanyia nini wakulima hawa waliokodisha shamba?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo wakamtupa nje ya shamba la mizabibu, wakamuua.” “Sasa basi yule mwenye shamba la mizabibu atawafanyia nini wapangaji hawa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamtupa nje ya shamba la mizabibu, wakamwua. Basi, bwana wa shamba la mizabibu atawatendaje?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakamtoa nje ya lile shamba la mizabibu, wakamuua.” Yesu akauliza, “Yule mwenye shamba atawafanya nini hao wakulima?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo wakamsukumasukuma mpaka nje ya mizabibu, wakamwua. Basi, mwenye mizabibu atawafanyia nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamtupa nje ya shamba la mizabibu, wakamwua. Basi, bwana wa shamba la mizabibu atawatendeje?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu wakamukamata wakamwua na kutupa maiti yake inje ya shamba.” Kisha Yesu akauliza: “Basi yule mwenye shamba atawatendea walimaji wale namna gani?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakamtupa nje ya shamba la mizabibu wakamwua. Bassi yule bwana wa shamba la mizabibu atawatendani?