Luke 20:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atakuja kuwaangamiza wakulima hao, na kuwapa wakulima wengine hilo shamba la mizabibu.” Watu waliposikia maneno hayo, walisema: “Hasha! Yasitukie hata kidogo!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atakuja na kuwaua hao wapangaji, na kuwapa wapangaji wengine hilo shamba la mizabibu.” Watu waliposikia hayo wakasema, “Mungu apishie mbali jambo hili lisitokee!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atakuja na kuwaangamiza wakulima wale, na lile shamba la mizabibu atawapa wengine. Waliposikia hayo walisema, Hasha! Yasitukie haya!
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Atakuja na atawaua wale wakulima, kisha atalikodisha shamba kwa wakulima wengine.” Watu waliposikia mfano huu, wakasema, “Hili lisije kutokea!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Atakuja kuwaangamiza wakulima hao, na atawapa wakulima wengine hilo shamba la mizabibu.” Watu waliposikia maneno hayo, walisema: “Hasha! Yasitukie hata kidogo!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atakuja kuwaangamiza wakulima hao, na kuwapa wakulima wengine hilo shamba la mizabibu.” Watu waliposikia maneno hayo, walisema: “Hasha! Yasitukie hata kidogo!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atakuja na kuwaua hao wapangaji na kuwapa wapangaji wengine hilo shamba la mizabibu.” Watu waliposikia hayo wakasema, “Mungu apishie mbali jambo hili lisitokee!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atakuja na kuwaua hao wapangaji, na kuwapa wapangaji wengine hilo shamba la mizabibu.” Watu waliposikia hayo wakasema, “Mungu apishie mbali jambo hili lisitokee!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atakuja na kuwaangamiza wakulima wale, na lile shamba la mizabibu atawapa wengine. Waliposikia hayo walisema, Hasha! Yasitukie haya!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atakuja kuwaangamiza wakulima hao, na kuwapa wakulima wengine hilo shamba la mizabibu.” Watu waliposikia maneno hayo, walisema: “Hasha! Yasitukie hata kidogo!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atakuja na kuwangamiza wakulima hao nayo mizabibu atawapa wengine. Wao waliosikia wakasema: Yasiwe hayo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atakuja na kuwaangamiza wakulima wale, na lile shamba la mizabibu atawapa wengine. Waliposikia hayo walisema, Hasha! Yasitukie haya!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atakuja na kuwaua wale walimaji. Na kisha atawapatia walimaji wengine shamba lile.” Watu waliposikia maneno hayo, wakasema: “Isitufikie vile hata kidogo.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Atakuja na kuwaangamiza wale wakulima, na lile shamba la mizabibu atawapa wengine.