Luke 20:17 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Yesu akawatazama, akawaambia, “Maandiko haya Matakatifu yana maana gani, basi? ‘Jiwe walilokataa waashi, sasa limekuwa jiwe kuu la msingi!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Isa akawakazia macho, akasema, “Basi ni nini maana ya yale yaliyoandikwa: “ ‘Jiwe walilolikataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni’?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawakazia macho akasema, Maana yake nini basi neno hili lililoandikwa, Jiwe walilolikataa waashi, Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Yesu akawakazia macho na akasema, “Hivyo basi, Maandiko haya yanamaanisha nini: ‘Jiwe lililokataliwa na wajenzi, limekuwa jiwe kuu la pembeni?’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini Yesu akawatazama, akawaambia, “Maandiko haya Matakatifu yana maana gani basi? Jiwe walilokataa waashi, sasa limekuwa jiwe kuu la msingi!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Yesu akawatazama, akawaambia, “Maandiko haya Matakatifu yana maana gani, basi? ‘Jiwe walilokataa waashi, sasa limekuwa jiwe kuu la msingi!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Yesu akawakazia macho akasema, “Basi ni nini maana ya yale yaliyoandikwa: “ ‘Jiwe lile walilolikataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Isa akawakazia macho, akasema, “Basi ni nini maana ya yale yaliyoandikwa: “ ‘Jiwe walilolikataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni’?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawakazia macho akasema, Maana yake nini basi neno hili lililoandikwa, Jiwe walilolikataa waashi, Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Yesu akawatazama, akawaambia, “Maandiko haya Matakatifu yana maana gani, basi? ‘Jiwe walilokataa waashi, sasa limekuwa jiwe kuu la msingi!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akawatazama, akasema: Basi, maana ya neno lililoandikwa ni nini? Hilo la kwamba: Jiwe, walilolikataa waashi, hilihili limekuwa jiwe la pembeni?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawakazia macho akasema, Maana yake nini basi neno hili lililoandikwa, Jiwe walilolikataa waashi, Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yesu akawaangalia na kuwauliza: “Maana ya Maandiko haya Matakatifu ni gani? ‘Jiwe lililokataliwa na wajengaji, limekuwa sasa jiwe kubwa la musingi.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Waliposikia wakasema, Mungu na apishe mbali. Akawakazia macho, akasema, Maana yake nini, bassi, neno hili lililoandikwa, Jiwe walilolikataa waashi Hili limekuwa jiwe kuu la pembeni?