Luke 20:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakasema, “Tuambie! Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamuuliza, “Tuambie, unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Ni nani aliyekupa mamlaka haya?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakamwambia, wakisema, Tuambie, unatenda mambo hayo kwa mamlaka gani? Tena, ni nani aliyekupa mamlaka hii?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakamwambia, “Tuambie, una mamlaka gani kutenda mambo haya! Ni nani aliyekupa mamlaka hii?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
wakasema, “Tuambie! Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakasema, “Tuambie! Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamwuliza, “Tuambie, unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Ni nani aliyekupa mamlaka haya?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamuuliza, “Tuambie, unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Ni nani aliyekupa mamlaka haya?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakamwambia, wakisema, Tuambie, unatenda mambo hayo kwa mamlaka gani? Tena, ni nani aliyekupa mamlaka haya?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakasema, “Tuambie! Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakamwambia wakisema: Utuambie: Hayo unayafanya kwa nguvu gani? au ni nani aliyekupa nguvu hii?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakamwambia, wakisema, Tuambie, unatenda mambo hayo kwa mamlaka gani? Tena, ni nani aliyekupa mamlaka hii?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Utuambie ni kwa mamlaka gani unafanya mambo haya, na ni nani aliyekupa mamlaka yale?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakasema nae, wakinena, Kwa mamlaka gani unatenda haya? Na ni nani aliyekupa mamlaka hii?