Luke 20:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu alitambua mtego wao, akawaambia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Isa akatambua hila yao, akawaambia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini yeye alitambua hila yao, akawaambia,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Yesu alitambua watu hawa walikuwa wanajaribu kumtega. Akawaambia,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu alitambua mtego wao, akawaambia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu alitambua mtego wao, akawaambia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Yesu akatambua hila yao, kwa hiyo akawaambia, “Kwa nini ninyi mnanijaribu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Isa akatambua hila yao, kwa hiyo akawaambia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini yeye alitambua hila yao, akawaambia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu alitambua mtego wao, akawaambia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuujua werevu wao mbaya, akawaambia:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini yeye alitambua hila yao, akawaambia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kwa kuwa Yesu alitambua udanganyifu wao, akawaambia:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini akatambua ujanja wao, akawaambia,