Luke 20:24 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nionesheni sarafu. Je, sura na chapa ni vya nani?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nionesheni dinari. Je, sura hii na maandishi haya yaliyo juu yake ni vya nani?” Wakamjibu, “Ni vya Kaisari.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nionyesheni dinari. Ina sura na anwani ya nani? Wakamjibu, Ya Kaisari.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Nionesheni sarafu ya fedha,” Kisha akauliza, “Jina na picha katika sarafu hii ni ya nani?” Wakamjibu, “Ya Kaisari.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Nionyesheni sarafu. Je, sura na chapa ni vya nani?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nionesheni sarafu. Je, sura na chapa ni vya nani?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nionyesheni dinari. Je, picha hii na maandishi haya yaliyoko juu yake ni ya nani?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nionyesheni dinari. Je, sura hii na maandishi haya yaliyoko juu yake ni vya nani?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nionesheni dinari. Ina sura na anwani ya nani? Wakamjibu, Ya Kaisari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nionesheni sarafu. Je, sura na chapa ni vya nani?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nionyesheni shilingi! Ina chapa na maandiko ya nani? Nao wakasema: Yake Kaisari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nionyesheni dinari. Ina sura na anwani ya nani? Wakamjibu, Ya Kaisari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Munionyeshe kikoroti kimoja cha feza.” Kisha akawauliza: “Sura hii na jina hili linaloandikwa hapa ni vya nani?” Nao wakajibu: “Ni vya Mufalme wa Roma.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nionyesheni dinari: ina sura ya nani? ina anwaui ya nani? Wakasema, ya Kaisari.