Luke 20:29 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa, wakati mmoja kulikuwa na ndugu saba. Yule wa kwanza alioa na baadaye akafa bila kuacha mtoto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi kulikuwa na ndugu saba. Yule wa kwanza akaoa, akafa bila kuzaa mtoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, kulikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa mke, akafa hana mtoto;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walikuwepo ndugu saba. Wa kwanza alioa mke lakini akafa bila ya kuwa na watoto.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sasa, wakati mmoja kulikuwa na ndugu saba. Yule wa kwanza alioa na baadaye akafa bila kuacha mtoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa, wakati mmoja kulikuwa na ndugu saba. Yule wa kwanza alioa na baadaye akafa bila kuacha mtoto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi walikuwepo ndugu saba, wa kwanza akaoa, akafa bila kuzaa mtoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi palikuwepo ndugu saba. Yule wa kwanza akaoa, akafa bila kuzaa mtoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, kulikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa mke, akafa hana mtoto;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa, wakati mmoja kulikuwa na ndugu saba. Yule wa kwanza alioa na baadaye akafa bila kuacha mtoto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kulikuwa na waume saba walio ndugu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, kulikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa mke, akafa hana mtoto;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi kulikuwa wandugu saba. Wa kwanza alioa mwanamuke, lakini mutu yule akakufa bila kuacha mutoto.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, palikuwa na ndugu saba: wa kwanza akatwaa mke akafa, hana mtoto,