Luke 20:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akawaambia, “Na mimi nitawaulizeni swali:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawajibu, “Nami nitawauliza swali. Nijibuni:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akajibu akawaambia, Nami nitawauliza ninyi neno moja; niambieni,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akawajibu, “Nami nitawauliza swali pia. Niambieni:
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akawaambia, “Na mimi nitawaulizeni swali:
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akawaambia, “Na mimi nitawaulizeni swali:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawajibu, “Nami nitawauliza swali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawajibu, “Nami nitawauliza swali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akajibu akawaambia, Nami nitawauliza ninyi neno moja; niambieni,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akawaambia, “Na mimi nitawaulizeni swali:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akajibu akiwaambia: Hata mimi nitawauliza neno moja, mnijibu:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akajibu akawaambia, Nami nitawauliza ninyi neno moja; niambieni,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akawajibu: “Mimi vilevile nitawauliza ulizo hili moja. Muniambie,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akajibu, akawaambia, Nami nitawauliza ninyi neno moja, kaniambieni.