Luke 20:30 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule ndugu wa pili akamwoa yule mjane, naye pia akafa;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha yule wa pili akamwoa huyo mjane, naye akafa bila mtoto,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na wa pili [akamtwaa yule mke, akafa hana mtoto;]
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wa pili akamuoa yule mwanamke kisha akafa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yule ndugu wa pili akamwoa yule mjane, naye pia, akafa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule ndugu wa pili akamwoa yule mjane, naye pia akafa;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha yule wa pili akamwoa huyo mjane, naye akafa bila mtoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha yule wa pili akamwoa huyo mjane, naye akafa bila mtoto,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na wa pili [akamtwaa yule mke, akafa hana mtoto;]
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule ndugu wa pili akamwoa yule mjane, naye pia akafa;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wa kwanza akaoa mke, akafa pasipo kuwa na mwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na wa pili [akamtwaa yule mke, akafa hana mtoto;]
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndugu wa pili akaoa yule mujane, akakufa vilevile bila kuacha mutoto.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wa pili akamtwaa yule mke, akafa nae, hana mtoto.