Luke 20:31 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na ndugu wa tatu vilevile. Mambo yakawa yaleyale kwa wote saba — wote walikufa bila kuacha watoto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye wa tatu pia akamwoa. Vivyo hivyo ndugu wote saba wakawa wamemwoa huyo mwanamke, na wote wakafa pasipo yeyote kupata mtoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hata wa tatu akamwoa, na kadhalika wote saba, wakafa, wasiache watoto.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na wa tatu akamwoa mwanamke na akafa. Kitu kile kile kikawatokea ndugu wote saba. Walikufa bila ya kuwa na watoto.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na ndugu wa tatu vilevile. Mambo yakawa yaleyale kwa wote saba—wote walikufa bila kuacha watoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na ndugu wa tatu vilevile. Mambo yakawa yaleyale kwa wote saba — wote walikufa bila kuacha watoto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye wa tatu pia, vivyo hivyo ndugu wote saba wakawa wamemwoa huyo mwanamke na wote wakafa pasipo kupata mtoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye wa tatu pia akamwoa. Vivyo hivyo ndugu wote saba wakawa wamemwoa huyo mwanamke, na wote wakafa pasipo yeyote kupata mtoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hata wa tatu akamwoa, na kadhalika wote saba, wakafa, wasiache watoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na ndugu wa tatu vilevile. Mambo yakawa yaleyale kwa wote saba – wote walikufa bila kuacha watoto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye wa pili, kisha wa tatu akamchukua yule mwanamke; vivi hivi hata wale saba, hawakuacha wana walipokufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hata wa tatu akamwoa, na kadhalika wote saba, wakafa, wasiache watoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na ikakuwa vile kwa ndugu wa tatu na hata kwa wote saba. Wote wakakufa bila kuacha mutoto.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta wa tatu akamtwaa, na kadhalika hawa saba hawakuacha watoto, wakafa.