Luke 20:33 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, siku wafu watakapofufuliwa, mama huyo atakuwa mke wa nani? Maana wote saba walikuwa wamemwoa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa basi, siku ya ufufuo huyo mwanamke atakuwa mke wa nani, maana aliolewa na ndugu wote saba?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, katika ufufuo atakuwa mke wa yupi? Maana aliolewa na wote saba.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini ndugu wote saba walimwoa. Sasa, watu watakapofufuka kutoka kwa wafu, atakuwa mke wa yupi?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, siku wafu watakapofufuliwa, mwanamke huyo atakuwa mke wa nani? Alikuwa ameolewa na wote saba.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, siku wafu watakapofufuliwa, mama huyo atakuwa mke wa nani? Maana wote saba walikuwa wamemwoa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa basi, siku ya ufufuo huyo mwanamke atakuwa mke wa nani? Maana aliolewa na ndugu wote saba.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa basi, siku ya ufufuo huyo mwanamke atakuwa mke wa nani, maana aliolewa na ndugu wote saba?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, katika ufufuo atakuwa mke wa yupi? Maana aliolewa na wote saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, siku wafu watakapofufuliwa, mama huyo atakuwa mke wa nani? Maana wote saba walikuwa wamemwoa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, katika ufuko huyo mwanamke atakuwa mke wa yupi wa hao? Kwani wote saba walikuwa naye yule mwanamke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, katika ufufuo atakuwa mke wa yupi? Maana aliolewa na wote saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa, siku wafu watakapofufuka, muke yule atakuwa wa nani, kwa maana wote saba walikuwa wamemwoa?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi katika kiyama, atakuwa mke wa nani katika hawo? maana wale saba walikuwa nae.