Luke 20:34 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akawaambia, “Watu wa nyakati hizi huoa na kuolewa;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akawajibu, “Katika maisha haya watu huoa na kuolewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akawaambia Masadukayo, “Watu huoana katika ulimwengu huu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akawaambia, “Watu wa nyakati hizi huoa na kuolewa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akawaambia, “Watu wa nyakati hizi huoa na kuolewa;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akawajibu, “Katika maisha haya watu huoa na kuolewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akawajibu, “Katika maisha haya watu huoa na kuolewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akawaambia, “Watu wa nyakati hizi huoa na kuolewa;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesu akawaambia: Wana wa dunia hii huoa, tena huolewa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akawajibu: “Watu wa nyakati hizi wanaoa na kuolewa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yesu akajibu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa, na kuozwa,