Luke 20:38 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, yeye si Mungu wa wafu, bali ni Mungu wa wale walio hai; maana kwake wote wanaishi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai, kwa kuwa kwake wote ni hai.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai; kwa kuwa wote huishi kwake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ni Mungu wa wanaoishi tu. Hivyo watu hawa kwa hakika hawakuwa wamekufa. Ndiyo, kwa Mungu watu wote bado wako hai.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, yeye si Mungu wa wafu, bali ni Mungu wa wale walio hai; maana wale aliowaita kwake, wanaishi naye.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, yeye si Mungu wa wafu, bali ni Mungu wa wale walio hai; maana kwake wote wanaishi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye Mungu si Mungu wa wafu bali wa walio hai, kwa kuwa kwake wote ni hai.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai, kwa kuwa kwake wote ni hai.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai; kwa maana kwake wote wanaishi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, yeye si Mungu wa wafu, bali ni Mungu wa wale walio hai; maana kwake wote wanaishi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Mungu siye wa wafu, la wao walio hai; kwani kwake wote huishi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai; kwa kuwa wote huishi kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye si Mungu wa wafu, lakini ni Mungu wa wanaokuwa wazima; maana mbele yake wote wanaishi.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, yeye siye Muugu wa wafu, bali Mungu wa wahayi, maana wote ni wahayi kwake.