Luke 20:39 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadhi ya wale waalimu wa sheria wakasema, “Mwalimu, umejibu vema kabisa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadhi ya walimu wa Torati wakasema, “Mwalimu, umesema sawasawa kabisa!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waandishi wengine wakajibu wakamwambia, Mwalimu, umesema vema;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadhi ya walimu wa sheria wakasema, “Mwalimu, jibu lako ni zuri.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baadhi ya wale walimu wa Sheria wakasema, “Mwalimu, umejibu vema kabisa.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadhi ya wale waalimu wa sheria wakasema, “Mwalimu, umejibu vema kabisa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadhi ya walimu wa sheria wakasema, “Mwalimu, umesema sawasawa kabisa!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadhi ya walimu wa Torati wakasema, “Mwalimu, umesema sawasawa kabisa!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waandishi wengine wakajibu wakamwambia, Mwalimu, umesema vema;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadhi ya wale waalimu wa sheria wakasema, “Mwalimu, umejibu vema kabisa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kulikuwa na waandishi waliojibu wakisema: Mfunzi, umesema vema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waandishi wengine wakajibu wakamwambia, Mwalimu, umesema vema;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walimu wamoja wa Sheria wakasema: “Mwalimu, umejibu vizuri!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Baadhi ya waandishi wakajibu wakasema, Mwalimu, umesema vema.