Luke 20:42 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi mwenyewe anasema katika Zaburi: ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi mwenyewe anasema katika Kitabu cha Zaburi: “ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana, Daudi mwenyewe asema katika chuo cha Zaburi, Bwana alimwambia Bwana wangu, Uketi mkono wangu wa kuume,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Katika kitabu cha Zaburi, Daudi mwenyewe anasema, ‘Bwana Mungu alimwambia Bwana wangu: Keti karibu nami upande wangu wa kulia,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana Daudi mwenyewe anasema katika Zaburi: Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi mwenyewe anasema katika Zaburi: ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi mwenyewe anasema katika Kitabu cha Zaburi: “ ‘BWANA alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi mwenyewe anasema katika Kitabu cha Zaburi: “ ‘ bwana Mwenyezi alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana, Daudi mwenyewe asema katika kitabu cha Zaburi, Bwana alimwambia Bwana wangu, Uketi mkono wangu wa kulia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi mwenyewe anasema katika Zaburi: ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Dawidi mwenyewe asema katika kitabu cha Mashangilio: Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti kuumeni kwangu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana, Daudi mwenyewe asema katika chuo cha Zaburi, Bwana alimwambia Bwana wangu, Uketi mkono wangu wa kuume,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi yeye mwenyewe alisema katika kitabu cha Zaburi: ‘Bwana wetu Mungu alimwambia Bwana wangu: Ikaa na mamlaka kwa kuume kwangu
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na Daud mwenyewe asema katika chuo cha Zaburi, Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti mkono wangu wa kuume,