Luke 20:43 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mpaka niwaweke maadui zako kuwa kiti cha kuwekea miguu yako.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.” ’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata niwaweke adui zako Kuwa kiti cha kuwekea miguu yako.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
na nitawaweka adui zako chini ya mamlaka yako.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
mpaka niwafanye adui zako kama kiti cha kuwekea miguu yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mpaka niwaweke maadui zako kuwa kiti cha kuwekea miguu yako.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.” ’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.” ’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hadi niwaweke adui zako Kuwa kiti cha kuwekea miguu yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mpaka niwaweke maadui zako kuwa kiti cha kuwekea miguu yako.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mpaka niwaweke adui zako chini miguuni pako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata niwaweke adui zako Kuwa kiti cha kuwekea miguu yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mpaka nitakapoweka waadui zako chini ya miguu yako.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta niwafanyapo adui zako kuwa chini ya miguu yako.