Luke 20:45 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu aliwaambia wanafunzi wake mbele ya watu wote,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati watu wote walikuwa wanamsikiliza, Isa akawaambia wanafunzi wake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watu wote walipokuwa wakimsikiliza, aliwaambia wanafunzi wake,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wote walipokuwa wanamsikiliza Yesu, akawaambia wafuasi wake,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu aliwaambia wanafunzi wake mbele ya watu wote,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu aliwaambia wanafunzi wake mbele ya watu wote,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati watu wote walipokuwa wanamsikiliza, Yesu akawaambia wanafunzi wake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati watu wote walikuwa wanamsikiliza, Isa akawaambia wanafunzi wake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watu wote walipokuwa wakimsikiliza, aliwaambia wanafunzi wake,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu aliwaambia wanafunzi wake mbele ya watu wote,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaambia wanafunzi, watu wote waliposikia:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watu wote walipokuwa wakimsikiliza, aliwaambia wanafunzi wake,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wote walipokuwa wakimusikiliza Yesu, yeye akawaambia wanafunzi wake:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta watu wote walipokuwa wakimsikiliza, akawaambia wanafunzi wake,