Luke 21:1 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu alitazama kwa makini, akawaona matajiri walivyokuwa wanatia sadaka zao katika hazina ya hekalu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa alipoinua macho yake, aliwaona matajiri wakiweka sadaka zao kwenye sanduku la hazina ya Hekalu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akainua macho yake akawaona matajiri wakitia sadaka zao katika sanduku la hazina.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu alitazama na kuwaona matajiri wakimtolea Mungu sadaka zao katika sanduku la sadaka ndani ya Hekalu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu alitazama kwa makini, akawaona matajiri walivyokuwa wanatia sadaka zao katika hazina ya Hekalu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu alitazama kwa makini, akawaona matajiri walivyokuwa wanatia sadaka zao katika hazina ya hekalu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu alipoinua macho yake, aliwaona matajiri wakiweka sadaka zao kwenye sanduku la hazina ya Hekalu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa alipoinua macho yake, aliwaona matajiri wakiweka sadaka zao kwenye sanduku la hazina ya Hekalu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akainua macho yake akawaona matajiri wakitia sadaka zao katika sanduku la hazina.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu alitazama kwa makini, akawaona matajiri walivyokuwa wanatia sadaka zao katika hazina ya hekalu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipoinua macho akaona, wenye mali walivyotia sadaka zao katika sanduku ya vipaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akainua macho yake akawaona matajiri wakitia sadaka zao katika sanduku la hazina.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu alipoinua macho, akawaona watajiri wakitia sadaka ndani ya sanduku ya sadaka za hekalu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
AKAINUA macho yake akawaona watu wakitia sadaka zao katika sanduku ya hazina, watu matajiri.