Luke 21:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Muwe na msimamo huu mioyoni mwenu: Hakuna kufikiria kabla ya wakati juu ya jinsi mtakavyojitetea,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kusudieni mioyoni mwenu msisumbuke awali kuhusu mtakalosema mbele ya mashtaka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, kusudieni mioyoni mwenu, kutofikiri-fikiri kwanza mtakavyojibu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Msihofu namna mtakavyojitetea,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Muwe na msimamo huu mioyoni mwenu: hakuna kufikiria kabla ya wakati juu ya jinsi mtakavyojitetea,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Muwe na msimamo huu mioyoni mwenu: hakuna kufikiria kabla ya wakati juu ya jinsi mtakavyojitetea,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini msiwe na wasiwasi kwamba mtasema nini kabla ya mashtaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kusudieni mioyoni mwenu msisumbuke awali kuhusu mtakalosema mbele ya mashtaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, kusudieni mioyoni mwenu, kutofikiri-fikiri kwanza mtakavyojibu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Muwe na msimamo huu mioyoni mwenu: Hakuna kufikiria kabla ya wakati juu ya jinsi mtakavyojitetea,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jueni, nguvu imo mioyoni mwenu, msianze kuyahangaikia maneno ya kujikania!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, kusudieni mioyoni mwenu, kutofikiri-fikiri kwanza mtakavyojibu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi mukusudie ndani ya moyo kwamba hamutajihangaisha mbele ya wakati kwa kutafuta kujua namna mutakavyojitetea.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Azimuni bassi mioyoni mwenu, msitafakari mbele mtakavyojibu.