Luke 21:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazazi wenu, ndugu, jamaa na rafiki zenu watawasaliti nyinyi; na baadhi yenu mtauawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtasalitiwa hata na wazazi, ndugu, jamaa na rafiki zenu, na baadhi yenu watawaua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi mtasalitiwa na wazazi wenu, na ndugu zenu, na jamaa zenu, na rafiki zenu, nao watawafisha baadhi yenu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hata wazazi wenu, ndugu zenu, jamaa, na marafiki watawageuka. Watawaua baadhi yenu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wazazi wenu, ndugu, jamaa na rafiki zenu watawasaliti ninyi; na baadhi yenu mtauawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazazi wenu, ndugu, jamaa na rafiki zenu watawasaliti nyinyi; na baadhi yenu mtauawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtasalitiwa hata na wazazi, ndugu, jamaa na marafiki na baadhi yenu watawaua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtasalitiwa hata na wazazi, ndugu, jamaa na marafiki, na baadhi yenu watawaua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi mtasalitiwa na wazazi wenu, na ndugu zenu, na jamaa zenu, na rafiki zenu, nao watawaua baadhi yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wazazi wenu, ndugu, jamaa na rafiki zenu watawasaliti nyinyi; na baadhi yenu mtauawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nanyi mtatolewa na wazazi na ndugu na wenzenu wa ukoo na rafiki; wengine wenu watawaua,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi mtasalitiwa na wazazi wenu, na ndugu zenu, na jamaa zenu, na rafiki zenu, nao watawafisha baadhi yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutatolewa hata na wazazi wenu, wandugu zenu, na watu wa jamaa zenu pamoja na warafiki zenu. Nao watawaua wamoja kati yenu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nanyi mtasalitiwa na wazazi wenu, na ndugu zenu, na jamaa zenu, na rafiki zenu, nao watawafisha wengine wenu.