Luke 21:2 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akamwona pia mama mmoja mjane akitumbukiza humo sarafu mbili ndogo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamwona pia mjane mmoja maskini akiweka humo sarafu mbili ndogo za shaba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwona mjane mmoja maskini akitia mle senti mbili.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha akamwona mjane maskini akiweka sarafu mbili za shaba kwenye sanduku.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
akamwona pia mama mmoja mjane akitumbukiza humo sarafu mbili ndogo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akamwona pia mama mmoja mjane akitumbukiza humo sarafu mbili ndogo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwona pia mwanamke mmoja mjane maskini, akiweka humo sarafu mbili za shaba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamwona pia mjane mmoja maskini akiweka humo sarafu mbili ndogo za shaba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwona mjane mmoja maskini akitia mle senti mbili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akamwona pia mama mmoja mjane akitumbukiza humo sarafu mbili ndogo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaona hata mwanamke mjane aliyekuwa mkiwa, alivyotia mle visenti viwili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwona mjane mmoja maskini akitia mle senti mbili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaona vilevile mujane mumoja masikini akitia ndani ya ile sanduku vikoroti viwili vidogo sana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akamwona na mjane mmoja maskini, akitia robo pesa mbili.