Luke 21:22 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa maana siku hizo ni siku za adhabu, ili yote yaliyoandikwa yatimie.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu huu utakuwa ni wakati wa adhabu ili kutimiza yote yaliyoandikwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa siku hizo ndizo za mapatilizo, ili yatimizwe yote yaliyoandikwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Manabii waliandika mambo mengi kuhusu wakati ambao Mungu atawaadhibu watu wake. Wakati ninaouzungumzia ni wakati ambao mambo haya yote lazima yatokee.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa maana siku hizo ni siku za adhabu, ili yote yaliyoandikwa yatimie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa maana siku hizo ni siku za adhabu, ili yote yaliyoandikwa yatimie.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu huu utakuwa ni wakati wa adhabu ili kutimiza yote yaliyoandikwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu huu utakuwa ni wakati wa adhabu ili kutimiza yote yaliyoandikwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa siku hizo ndizo za mapatilizo, ili yatimizwe yote yaliyoandikwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa maana siku hizo ni siku za adhabu, ili yote yaliyoandikwa yatimie.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani siku hizo zitakuwa za malipizo, yote yaliyoandikwa yapate kutimizwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa siku hizo ndizo za mapatilizo, ili yatimizwe yote yaliyoandikwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana siku zile zitakuwa siku za azabu ya Mungu, kusudi mambo yote yaliyoandikwa katika Maandiko Matakatifu yatimie.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa sababu hizi ni siku ya mapatilizo, yote yaliyoandikwa yapate kutimizwa.