Luke 21:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu watazirai kwa sababu ya woga, wakitazamia mambo yatakayoupata ulimwengu; kwa maana nguvu za mbingu zitatikiswa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu watazimia roho kutokana na hofu kuu na kuyaona yale mambo yanayotokea duniani, kwa maana nguvu za angani zitatikisika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
watu wakivunjika mioyo kwa hofu, na kwa kutazamia mambo yatakayoupata ulimwengu. Kwa kuwa nguvu za mbinguni zitatikisika.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watazimia kwa hofu na kuogopa watakapoona mambo yanayoupata ulimwengu. Kila kitu katika anga kitabadilishwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu watazirai kwa sababu ya uoga, wakitazamia mambo yatakayoupata ulimwengu; kwa maana nguvu za mbingu zitatikiswa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu watazirai kwa sababu ya woga, wakitazamia mambo yatakayoupata ulimwengu; kwa maana nguvu za mbingu zitatikiswa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu watazimia roho kutokana na hofu kuu na kuyaona yale mambo yanayotokea duniani, kwa maana nguvu za vitu vya angani zitatikisika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu watazimia roho kutokana na hofu kuu na kuyaona yale mambo yanayotokea duniani, kwa maana nguvu za angani zitatikisika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
watu wakivunjika mioyo kwa hofu, na kwa kutazamia mambo yatakayoupata ulimwengu. Kwa kuwa nguvu za mbinguni zitatikisika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu watazirai kwa sababu ya woga, wakitazamia mambo yatakayoupata ulimwengu; kwa maana nguvu za mbingu zitatikiswa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watu watakapozimia kwa woga na kwa kuyangoja mambo yatakayopajia pote, wanapokaa, kwani hata nguvu za mbingu zitatukutishwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
watu wakivunjika mioyo kwa hofu, na kwa kutazamia mambo yatakayoupata ulimwengu. Kwa kuwa nguvu za mbinguni zitatikisika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu watazimia kwa ajili ya hofu, wakingojea mambo yatakayotokea katika dunia, kwa maana vyote vyenye nguvu katika mbingu vitatikiswa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
watu wakizimia kwa khofu, na kwa kutazamia yanayoujia ulimwengu; kwa maana nguvu za mbingu zitatikisika.