Luke 21:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, akasema, “Nawaambieni kweli, mama huyu mjane maskini ametia katika hazina kiasi kikubwa kuliko walichotia wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akasema, “Amin, nawaambia, huyu mjane maskini ameweka humo zaidi ya watu wengine wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Hakika nawaambia, huyu mjane maskini ametia zaidi kuliko wote;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Akasema, “Mjane huyu maskini ametoa sarafu mbili tu. Lakini ukweli ni kuwa, ametoa zaidi ya hao matajiri wote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, akasema, “Nawaambieni kweli, mama huyu mjane ametia zaidi katika hazina kuliko wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, akasema, “Nawaambieni kweli, mama huyu mjane maskini ametia katika hazina kiasi kikubwa kuliko walichotia wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akasema, “Amin, amin nawaambia, huyu mjane maskini ameweka humo sadaka kubwa zaidi kuliko wengine wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akasema, “Amin, nawaambia, huyu mjane maskini ameweka humo zaidi ya watu wengine wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Hakika nawaambia, huyu mjane maskini ametia zaidi kuliko wote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, akasema, “Nawaambieni kweli, mama huyu mjane maskini ametia katika hazina kiasi kikubwa kuliko walichotia wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, aliposema: Kweli nawaambiani: Huyu mjane mkiwa ametia mengi kuliko wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Hakika nawaambia, huyu mjane maskini ametia zaidi kuliko wote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi akasema: “Kweli ninawaambia kwamba mujane huyu masikini ametoa mingi zaidi kuliko watu wote wengine.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akasema, Amin, nawaambieni, Huyu mjane maskini ametia vingi kuliko wote: