Luke 21:31 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vivyo hivyo, mtakapoona mambo hayo yanatendeka, mtatambua kwamba ufalme wa Mungu umekaribia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vivyo hivyo, mnapoyaona mambo haya yakitukia, mtambue kwamba ufalme wa Mungu umekaribia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi kadhalika, mwonapo mambo hayo yanaanza kutokea, tambueni ya kwamba ufalme wa Mungu u karibu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa namna hiyo hiyo, mtakapoona mambo haya yote yanatokea, mtajua kwamba ufalme wa Mungu umekaribia kuja.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Vivyo hivyo, mtakapoona mambo hayo yanatendeka, mtatambua kwamba Ufalme wa Mungu umekaribia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vivyo hivyo, mtakapoona mambo hayo yanatendeka, mtatambua kwamba ufalme wa Mungu umekaribia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vivyo hivyo, mnapoyaona mambo haya yakitukia, mwajua kwamba Ufalme wa Mungu umekaribia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vivyo hivyo, myaonapo mambo haya yakitukia, mnatambua kwamba Ufalme wa Mwenyezi Mungu umekaribia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi kadhalika, mwonapo mambo hayo yanaanza kutokea, tambueni ya kwamba ufalme wa Mungu u karibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vivyo hivyo, mtakapoona mambo hayo yanatendeka, mtatambua kwamba ufalme wa Mungu umekaribia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vivyo hivyo nanyi mtakapoyaona hayo, yakiwapo, tambueni, ya kuwa ufalme wa Mungu umewafikia karibu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi kadhalika, mwonapo mambo hayo yanaanza kutokea, tambueni ya kwamba ufalme wa Mungu u karibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile wakati mutakapoona mambo hayo niliyotoka kutaja yanatokea, mujue kwamba Ufalme wa Mungu unakaribia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nanyi vivyo hivyo mwonapo hayo yanakuwa, tambueni ya kuwa ufalme wa Mungu u karibu.