Luke 21:32 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kweli nawaambieni, kizazi hiki cha sasa hakitapita kabla ya hayo yote kutendeka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amin, nawaambieni, Kizazi hiki hakitapita hata hayo yote yatimie.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninawahakikishia kwamba, wakati mambo haya yote yatakapotokea, baadhi ya watu wanaoishi sasa watakuwa hai bado.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nawaambieni hakika, kizazi hiki cha sasa hakitapita kabla ya hayo yote kutendeka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kweli nawaambieni, kizazi hiki cha sasa hakitapita kabla ya hayo yote kutendeka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Amin, amin nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yatimie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amin, nawaambieni, Kizazi hiki hakitapita kabla ya hayo yote kutimia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kweli nawaambieni, kizazi hiki cha sasa hakitapita kabla ya hayo yote kutendeka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli nawaambiani: Kizazi hiki hakitakoma, mpaka yatakapokuwapo yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amin, nawaambieni, Kizazi hiki hakitapita hata hayo yote yatimie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kweli ninawaambia: hiki kizazi hakitapita mbele ya kutimia kwa mambo yote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Amin, nawaanibieni, Kizazi hiki hakitapita kamwe hatta haya yote yatimizwe.