Luke 22:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akawaambia, “Sikilizeni! Mtakapokuwa mnakwenda mjini, mtakutana na mwanamume anayebeba mtungi wa maji. Mfuateni mpaka ndani ya nyumba atakayoingia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akawaambia, “Tazameni, mtakapokuwa mkiingia mjini, mtakutana na mwanaume amebeba mtungi wa maji. Mfuateni hadi kwenye nyumba atakayoingia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Tazama, mtakapoingia mjini mtakutana na mwanamume akichukua mtungi wa maji; mfuateni mkaingie katika nyumba atakayoingia yeye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Mtakapokuwa mnaingia mjini, mtakutana na mtu amebeba mtungi wa maji. Mfuateni. Ataingia katika nyumba.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Akawaambia, “Sikilizeni! Mtakapokuwa mnakwenda mjini, mtakutana na mwanamume anayebeba mtungi wa maji. Mfuateni mpaka ndani ya nyumba atakayoingia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akawaambia, “Sikilizeni! Mtakapokuwa mnakwenda mjini, mtakutana na mwanamume anayebeba mtungi wa maji. Mfuateni mpaka ndani ya nyumba atakayoingia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akawaambia, “Sikilizeni, mtakapokuwa mmeingia mjini, mtakutana na mwanaume mmoja aliyebeba mtungi wa maji, mfuateni mpaka kwenye nyumba atakayoingia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akawaambia, “Tazameni, mtakapokuwa mkiingia mjini, mtakutana na mwanaume amebeba mtungi wa maji. Mfuateni mpaka kwenye nyumba atakayoingia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia, Tazama, mtakapoingia mjini mtakutana na mwanamume akiwa amebeba mtungi wa maji; mfuateni mkaingie katika nyumba atakayoingia yeye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akawaambia, “Sikilizeni! Mtakapokuwa mnakwenda mjini, mtakutana na mwanamume anayebeba mtungi wa maji. Mfuateni mpaka ndani ya nyumba atakayoingia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaambia: Tazameni, mtakapoingia mjini mtakutana na mtu anayechukua mtungi wa maji, mfuateni mpaka nyumbani, atakamoingia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, Tazama, mtakapoingia mjini mtakutana na mwanamume akichukua mtungi wa maji; mfuateni mkaingie katika nyumba atakayoingia yeye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akawajibu: “Mutakapoingia katika muji, mutakutana mutu mumoja anayebeba mutungi wenye maji. Mumufuate mutu yule katika nyumba atakamoingia,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawaambia, Tazama, mtakapoingia mjini, atakutana nanyi mtu mume achukuae mtungi wa maji: mfuateni mpaka nyumba atakayoingia.