Luke 22:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye atawaonesheni chumba kikubwa ghorofani ambacho kimepambwa. Andalieni humo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atawaonesha chumba kikubwa ghorofani, kikiwa kimepambwa vizuri. Andaeni humo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye atawaonyesha chumba kikubwa orofani, kimekwisha andikwa; andaeni humo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mmiliki atawaonesha chumba kikubwa ghorofani kilicho tayari kwa ajili yetu. Andaeni mlo humo.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye atawaonyesheni chumba kikubwa ghorofani ambacho kimepambwa. Andalieni humo.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye atawaonesheni chumba kikubwa ghorofani ambacho kimepambwa. Andalieni humo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atawaonyesha chumba kikubwa ghorofani, ambacho kina samani zote kikiwa kimepambwa vizuri. Tuandalieni humo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atawaonyesha chumba kikubwa ghorofani, kikiwa kimepambwa vizuri. Andaeni humo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye atawaonesha chumba kikubwa ghorofani, kimekwisha tayarishwa; andaeni humo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye atawaonesheni chumba kikubwa ghorofani ambacho kimepambwa. Andalieni humo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, atakapowaonyesha chumba kikubwa kilichotandikwa, humo tuandalieni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye atawaonyesha chumba kikubwa orofani, kimekwisha andikwa; andaeni humo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye atawaonyesha chumba kikubwa cha gorofi kilichokwisha kupangwa vizuri. Ni mule mutakapotayarishia karamu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na mtu yule atawaonyesha orofa kubwa iliyopambwa; huko andalieni.