Luke 22:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana nawaambieni, sitaila tena hadi hapo itakapokamilika katika ufalme wa Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana, nawaambia, sitaila tena Pasaka hadi itakapotimizwa katika ufalme wa Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa maana nawaambia ya kwamba siili tena hata itakapotimizwa katika ufalme wa Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sitakula mlo mwingine wa Pasaka mpaka itakapopewa maana yake kamili katika ufalme wa Mungu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana nawaambieni, sitaila tena hadi hapo itakapokamilika katika Ufalme wa Mungu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana nawaambieni, sitaila tena hadi hapo itakapokamilika katika ufalme wa Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana, nawaambia, sitaila tena Pasaka mpaka itakapotimizwa katika Ufalme wa Mungu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana, nawaambia, sitaila tena Pasaka mpaka itakapotimizwa katika Ufalme wa Mwenyezi Mungu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa maana nawaambia ya kwamba siili tena hadi itakapotimizwa katika ufalme wa Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana nawaambieni, sitaila tena hadi hapo itakapokamilika katika ufalme wa Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani nawaambiani: Sitaila tena, mpaka patakapotimia katika ufalme wa Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa maana nawaambia ya kwamba siili tena hata itakapotimizwa katika ufalme wa Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana ninawaambia, sitakula tena karamu hii ya Pasaka mpaka siku ile nitakapokula ile yenye kukamilika katika Ufalme wa Mungu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kwa maana nawaambieni, Sitaila kabisa hatta itakapotimizwa katika ufalme wa Mungu.