Luke 22:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa maana nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka ufalme wa Mungu utakapokuja.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana nawaambia tangu sasa sitakunywa tena katika uzao wa mzabibu, hadi ufalme wa Mungu utakapokuja.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana nawaambia ya kwamba tangu sasa sinywi mazao ya mzabibu hata ufalme wa Mungu utakapokuja.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sitakunywa divai tena mpaka Ufalme wa Mungu utakapokuja.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa maana nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka Ufalme wa Mungu utakapokuja.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa maana nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka ufalme wa Mungu utakapokuja.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana, nawaambia kwamba, tangu sasa sitakunywa tena divai hadi Ufalme wa Mungu utakapokuja.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana nawaambia tangu sasa sitakunywa tena katika uzao wa mzabibu, hadi Ufalme wa Mwenyezi Mungu utakapokuja.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana nawaambia ya kwamba tangu sasa sinywi mazao ya mzabibu hadi ufalme wa Mungu utakapokuja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa maana nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka ufalme wa Mungu utakapokuja.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani nawaambiani: Tangu sasa sitayanywa tena mazao ya mizabibu, mpaka ufalme wa Mungu utakapokuja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana nawaambia ya kwamba tangu sasa sinywi mazao ya mzabibu hata ufalme wa Mungu utakapokuja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana ninawaambia kwamba tangia sasa sitakunywa tena divai mpaka Ufalme wa Mungu utakapokuja.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana nawaambieni, Sitakunywa tangu sasa mazao ya mzabibu hatta ufalme wa Mungu utakapokuja.