Luke 22:2 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Makuhani wakuu na waalimu wa sheria wakawa wanatafuta njia ya kumwua Yesu, lakini waliwaogopa watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Viongozi wa makuhani na walimu wa Torati walikuwa wanatafuta njia ya kumuua Isa, kwa sababu waliwaogopa watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wakuu wa makuhani na waandishi walikuwa wakitafuta njia ya kumwua; maana walikuwa wakiwaogopa watu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Viongozi wa makuhani na walimu wa sheria walitaka kumwua Yesu kwa siri kwa sababu waliogopa kile ambacho watu wangefanya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Makuhani wakuu na walimu wa Sheria wakawa wanatafuta njia ya kumwua Yesu, lakini waliwaogopa watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Makuhani wakuu na waalimu wa sheria wakawa wanatafuta njia ya kumwua Yesu, lakini waliwaogopa watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Viongozi wa makuhani na walimu wa sheria walikuwa wanatafuta njia ya kumwua Yesu, kwa sababu waliwaogopa watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Viongozi wa makuhani na walimu wa Torati walikuwa wanatafuta njia ya kumuua Isa, kwa sababu waliwaogopa watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wakuu wa makuhani na waandishi walikuwa wakitafuta njia ya kumwua; maana walikuwa wakiwaogopa watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Makuhani wakuu na waalimu wa sheria wakawa wanatafuta njia ya kumwua Yesu, lakini waliwaogopa watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watambikaji wakuu na waandishi wakatafuta, ndivyo wapate kumwangamiza. Maana walikuwa wakiwaogopa watu wa kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wakuu wa makuhani na waandishi walikuwa wakitafuta njia ya kumwua; maana walikuwa wakiwaogopa watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa wa makuhani na walimu wa Sheria walitafuta njia ya kumwua Yesu, lakini waliogopa watu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Makuhani wakuu na waandishi wakatafuta njia ya kumwua, kwa maana walikuwa wakiwaogopa watu.