Luke 22:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo wakaanza kuulizana wao kwa wao ni nani kati yao atakayefanya jambo hilo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaanza kuulizana wenyewe ni nani miongoni mwao angeweza kufanya jambo hilo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaanza kuulizana wao kwa wao, ni yupi miongoni mwao atakayelitenda jambo hilo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndipo mitume wakaulizana, “Ni nani miongoni mwetu atafanya hivyo?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo wakaanza kuulizana wao kwa wao ni nani kati yao atakayefanya jambo hilo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo wakaanza kuulizana wao kwa wao ni nani kati yao atakayefanya jambo hilo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaanza kuulizana wao kwa wao, ni nani miongoni mwetu anayeweza kufanya jambo hilo?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaanza kuulizana wenyewe ni nani miongoni mwao angeweza kufanya jambo hilo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaanza kuulizana wao kwa wao, ni yupi miongoni mwao atakayelitenda jambo hilo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo wakaanza kuulizana wao kwa wao ni nani kati yao atakayefanya jambo hilo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wakaanza kuulizana wao kwa wao: Kwetu sisi yuko nani atakayelifanya jambo hilo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaanza kuulizana wao kwa wao, ni yupi miongoni mwao atakayelitenda jambo hilo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi wakaanza kuulizana wao kwa wao ni nani kati yao atakayefanya jambo lile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nao wakaanza kuulizana wao kwa wao, ni nani katika wao atakaetenda neno hili.