Luke 22:28 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nyinyi ndio mliobaki nami wakati wote wa majaribu yangu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninyi mmekuwa pamoja nami katika majaribu yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi ndinyi mliodumu pamoja nami katika majaribu yangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na ninyi ndiyo mliobaki pamoja nami katika mahangaiko mengi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Ninyi ndio mliobaki nami wakati wote wa majaribu yangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nyinyi ndio mliobaki nami wakati wote wa majaribu yangu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninyi mmekuwa pamoja nami katika majaribu yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninyi mmekuwa pamoja nami katika majaribu yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi ndinyi mliodumu pamoja nami katika majaribu yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nyinyi ndio mliobaki nami wakati wote wa majaribu yangu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nanyi ndinyi mlioandamana nami katika kujaribiwa kwangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi ndinyi mliodumu pamoja nami katika majaribu yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Ninyi ndio muliokuwa pamoja nami katika majaribu yangu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Siye aketiye chakulani? Lakini mimi kati mwenu kama akhudumuye.