Luke 22:4 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yuda akaenda, akajadiliana na makuhani wakuu na walinzi wa hekalu kuhusu atakavyomsaliti Yesu kwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yuda akaenda kwa viongozi wa makuhani na kwa maafisa wa walinzi wa Hekalu, akazungumza nao jinsi angeweza kumsaliti Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaondoka, akaenda akasema na wakuu wa makuhani na majemadari, jinsi atakavyoweza kumtia mikononi mwao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
akaondoka, akaenda kuongea na viongozi wa makuhani na baadhi ya wakuu wa askari walinzi wa Hekalu. Aliongea nao kuhusu namna ya kumkabidhi Yesu kwao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yuda akaenda akajadiliana na makuhani wakuu na walinzi wa Hekalu kuhusu atakavyomsaliti Yesu kwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yuda akaenda, akajadiliana na makuhani wakuu na walinzi wa hekalu kuhusu atakavyomsaliti Yesu kwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yuda akaenda kwa viongozi wa makuhani na kwa maafisa wa walinzi wa Hekalu kuzungumza nao jinsi ambavyo angeweza kumsaliti Yesu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yuda akaenda kwa viongozi wa makuhani na kwa maafisa wa walinzi wa Hekalu, akazungumza nao jinsi ambavyo angeweza kumsaliti Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaondoka, akaenda akasema na wakuu wa makuhani na majemadari, jinsi atakavyoweza kumtia mikononi mwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yuda akaenda, akajadiliana na makuhani wakuu na walinzi wa hekalu kuhusu atakavyomsaliti Yesu kwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaenda zake, akasemezana nao watambikaji wakuu na wakubwa wa askari, ndivyo apate kumtia mikononi mwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaondoka, akaenda akasema na wakuu wa makuhani na majemadari, jinsi atakavyoweza kumtia mikononi mwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Yuda akaenda kusikilizana na wakubwa wa makuhani na wakubwa wa walinzi wa hekalu juu ya namna ya kumutoa Yesu kwao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akaenda zake akasema na makuhani wakuu na majemadari jinsi ya kumtia katika mikono yao.