Luke 22:49 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale wanafunzi wake walipoona hayo wakasema, “Bwana, tutumie panga zetu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafuasi wa Isa walipoona yale yaliyokuwa yanakaribia kutokea, wakasema, “Bwana, tuwakatekate kwa panga zetu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wale waliokuwa karibu naye walipoona yatakayotukia, walisema, Bwana, tuwapige kwa upanga?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wafuasi wa Yesu walikuwa wamesimama pale pia. Walipoona kilichokuwa kinatokea, wakamwambia Yesu, “Bwana, tutumie panga zetu?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wale wanafunzi wake walipoona hayo wakasema, “Bwana, tutumie panga zetu?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale wanafunzi wake walipoona hayo wakasema, “Bwana, tutumie panga zetu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafuasi wa Yesu walipoona yale yaliyokuwa yanakaribia kutokea, wakasema, “Bwana, tuwakatekate kwa panga zetu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafuasi wa Isa walipoona yale yaliyokuwa yanakaribia kutokea, wakasema, “Bwana Isa, tuwakatekate kwa panga zetu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wale waliokuwa karibu naye walipoona yatakayotokea, walisema, Bwana, tuwapige kwa upanga?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale wanafunzi wake walipoona hayo wakasema, “Bwana, tutumie panga zetu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waliokuwa pamoja naye walipoyaona yatakayokuwapo, wakasema: Bwana, tuwapige kwa upanga?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wale waliokuwa karibu naye walipoona yatakayotukia, walisema, Bwana, tuwapige kwa upanga?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale wanafunzi wa Yesu walipoona mambo yatakayotendeka, wakamwuliza: “Bwana, tuwakate kwa panga?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nao waliokuwa pamoja nae walipoona yatakayokuwa, wakasema, Bwana, na tupige kwa upanga?