Luke 22:54 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakamkamata, wakamchukua na kwenda naye nyumbani kwa kuhani mkuu. Petro akawa anamfuata nyuma kwa mbali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakamkamata Isa, wakamchukua, wakaenda naye hadi nyumbani mwa kuhani mkuu. Lakini Petro akafuata kwa mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamkamata, wakamchukua, wakaenda naye nyumbani kwa Kuhani Mkuu. Na Petro alimfuata kwa mbali.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walimkamata Yesu na kumpeleka nyumbani kwa kuhani mkuu. Petro alimfuata Yesu lakini alikaa nyuma kwa mbali.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wakamkamata, wakamchukua na kwenda naye nyumbani kwa Kuhani Mkuu. Petro akawa anamfuata nyuma kwa mbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakamkamata, wakamchukua na kwenda naye nyumbani kwa kuhani mkuu. Petro akawa anamfuata nyuma kwa mbali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakamkamata Yesu, wakamchukua wakaenda naye mpaka nyumbani kwa Kuhani Mkuu. Lakini Petro akafuata kwa mbali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakamkamata Isa, wakamchukua, wakaenda naye mpaka nyumbani kwa kuhani mkuu. Lakini Petro akafuata kwa mbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamkamata, wakamchukua, wakaenda naye nyumbani kwa Kuhani Mkuu. Na Petro alimfuata kwa mbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakamkamata, wakamchukua na kwenda naye nyumbani kwa kuhani mkuu. Petro akawa anamfuata nyuma kwa mbali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Walipokwisha kumkamata, wakampeleka, wamwingize nyumbani mwa mtambikaji mkuu. Lakini Petero akafuata mbalimbali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamkamata, wakamchukua, wakaenda naye nyumbani kwa Kuhani Mkuu. Na Petro alimfuata kwa mbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipokwisha kumukamata, wakamupeleka katika nyumba ya Kuhani Mukubwa. Petro akamufuata Yesu kwa mbali.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakamkamata, wakamchukua, wakamleta nyumbani kwa kuhani mkuu; na Petro akafuata mbali.