Luke 22:55 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Moto ulikuwa umewashwa katikati ya ua, nao wakawa wameketi pamoja, naye Petro akiwa miongoni mwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipokwisha kuwasha moto katikati ya ua na kuketi pamoja, Petro naye akaketi pamoja nao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na walipokwisha washa moto katikati ya kiwanja, waliketi pamoja, naye Petro akaketi kati yao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadhi ya watu walikoka moto katikati ya ua kisha wakaketi pamoja. Petro naye aliketi pamoja nao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Moto ulikuwa umewashwa katikati ya ua, nao wakawa wameketi pamoja Petro akiwa miongoni mwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Moto ulikuwa umewashwa katikati ya ua, nao wakawa wameketi pamoja, naye Petro akiwa miongoni mwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipokwisha kuwasha moto katikati ya ua na kuketi pamoja, Petro naye akaketi pamoja nao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipokwisha kuwasha moto katikati ya ua na kuketi pamoja, Petro naye akaketi pamoja nao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na walipokwisha washa moto katikati ya kiwanja, waliketi pamoja, naye Petro akaketi kati yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Moto ulikuwa umewashwa katikati ya ua, nao wakawa wameketi pamoja, naye Petro akiwa miongoni mwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipowasha moto katikati ya ua na kukaa pamoja, naye Petero akaja kukaa katikati yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na walipokwisha washa moto katikati ya kiwanja, waliketi pamoja, naye Petro akaketi kati yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakakonga moto katikati ya kiwanja na kuikaa, na Petro akakuja kuota moto pamoja nao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta walipowasha moto kati yasebule wakaketi pamoja, akaketi Petro kati yao.