Luke 22:64 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walimfunga kitambaa usoni, wakawa wanamwuliza, “Ni nani aliyekupiga? Hebu bashiri, tuone!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamfunga kitambaa machoni na kumuuliza, “Tabiri! Tuambie ni nani aliyekupiga?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamfunika macho, kisha wakamwuliza-uliza wakisema, Tabiri, ni nani aliyekupiga?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakayafunika macho yake ili asiwaone. Kisha wakampiga na wakasema, “Tabiri, tuambie nani amekupiga!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walimfunga kitambaa usoni, wakawa wanamwuliza, “Ni nani aliyekupiga? Hebu bashiri tuone!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walimfunga kitambaa usoni, wakawa wanamwuliza, “Ni nani aliyekupiga? Hebu bashiri, tuone!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamfunga kitambaa machoni na kumwuliza, “Tabiri! Tuambie ni nani aliyekupiga?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamfunga kitambaa machoni na kumuuliza, “Tabiri! Tuambie ni nani aliyekupiga?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamfunika macho, kisha wakamwulizauliza wakisema, Tabiri, ni nani aliyekupiga?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walimfunga kitambaa usoni, wakawa wanamwuliza, “Ni nani aliyekupiga? Hebu bashiri, tuone!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakamfunika uso, wakamwuliza wakisema: Fumbua! Ni nani aliyekupiga?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamfunika macho, kisha wakamwuliza-uliza wakisema, Tabiri, ni nani aliyekupiga?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walimufunika uso kwa kitambaa na kumwuliza: “Tambua sasa, ni nani aliyekupiga?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakamfunika macho, wakamwuliza, wakisema, Fanya unabii, ni nani aliyekupiga?