Luke 22:71 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao wakasema, “Je, tunahitaji ushahidi mwingine? Sisi wenyewe tumesikia akisema kwa mdomo wake mwenyewe.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakasema, “Tuna haja gani tena ya ushahidi zaidi? Tumesikia wenyewe kutoka kinywani mwake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasema, Basi, tuna haja gani tena ya ushuhuda? Maana, sisi wenyewe tumesikia maneno ya kinywa chake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakasema, “Je, tunahitaji mashahidi wengine zaidi? Sote tumesikia alichosema yeye mwenyewe!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nao wakasema, “Je, tunahitaji ushahidi mwingine? Sisi wenyewe tumesikia akisema kwa mdomo wake mwenyewe.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao wakasema, “Je, tunahitaji ushahidi mwingine? Sisi wenyewe tumesikia akisema kwa mdomo wake mwenyewe.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakasema, “Kwani tunahitaji ushahidi gani zaidi? Tumesikia wenyewe kutoka kinywani mwake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakasema, “Tuna haja gani tena ya ushahidi zaidi? Tumesikia wenyewe kutoka kinywani mwake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasema, Basi, tuna haja gani tena ya ushuhuda? Maana, sisi wenyewe tumesikia maneno ya kinywa chake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao wakasema, “Je, tunahitaji ushahidi mwingine? Sisi wenyewe tumesikia akisema kwa mdomo wake mwenyewe.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wakasema: Ushuhuda tunautakia nini tena? Kwani wenyewe tumevisikia, anavyosema.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasema, Basi, tuna haja gani tena ya ushuhuda? Maana, sisi wenyewe tumesikia maneno ya kinywa chake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu wakasema: “Hatuhitaji tena ushuhuda wowote juu yake. Kwa maana tunatoka kusikia maneno aliyosema!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakasema, Bassi, mbona tunahitaji ushuhuda? Kwa maana sisi wenyewe tumesikia kwa kinywa chake.