Luke 22:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao wakamwuliza, “Unataka tuiandae wapi?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamuuliza, “Unataka tukuandalie wapi?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwambia, Wataka tuandae wapi?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakamwambia, “Unataka tukauandae wapi?” Akawaambia,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nao wakamwuliza, “Unataka tuiandae wapi?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao wakamwuliza, “Unataka tuiandae wapi?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamwuliza, “Unataka tukuandalie wapi Pasaka?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamuuliza, “Unataka tukuandalie wapi?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwambia, Wataka tuandae wapi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao wakamwuliza, “Unataka tuiandae wapi?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wakamwambia: Unataka, tukuandalie wapi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwambia, Wataka tuandae wapi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamwuliza: “Ni wapi unapotaka tuende tukitayarishie?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakamwambia, Wapi utakapo tuiandalie?