Luke 23:1 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, wote kwa jumla, wakasimama, wakampeleka Yesu mbele ya Pilato.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha umati wote wa watu wakainuka na kumpeleka Isa kwa Pilato.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasimama mkutano wote, wakampeleka kwa Pilato.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha kundi lote likasimama, wakampeleka Yesu kwa Pilato.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha, wote kwa jumla, wakasimama, wakampeleka Yesu mbele ya Pilato.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, wote kwa jumla, wakasimama, wakampeleka Yesu mbele ya Pilato.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha umati wote wa watu wakainuka na kumpeleka Yesu kwa Pilato.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha umati wote wa watu ukainuka na kumpeleka Isa kwa Pilato.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha mkutano wote wakasimama, wakampeleka kwa Pilato.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, wote kwa jumla, wakasimama, wakampeleka Yesu mbele ya Pilato.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakainuka wale watu wengi wote pia, wakampeleka kwa Pilato.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasimama mkutano wote, wakampeleka kwa Pilato.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha watu wote wa Baraza Kubwa wakasimama, wakamupeleka Yesu mbele ya Pilato.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
WAKAONDOKA jamii yote, wakamleta kwa Pilato.