Luke 23:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Makuhani wakuu na waalimu wa sheria wakajitokeza mbele, wakatoa mashtaka yao kwa nguvu sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo viongozi wa makuhani na walimu wa Torati walikuwa wakitoa mashtaka yao kwa nguvu sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakuu wa makuhani na waandishi wakasimama wakamshitaki kwa nguvu sana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Viongozi wa makuhani na walimu wa sheria walikuwa wamesimama pale wakipaza sauti zao wakimshitaki kwa Herode.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Makuhani wakuu na walimu wa Sheria wakajitokeza mbele, wakatoa mashtaka yao kwa nguvu sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Makuhani wakuu na waalimu wa sheria wakajitokeza mbele, wakatoa mashtaka yao kwa nguvu sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo viongozi wa makuhani na walimu wa sheria walikuwepo wakitoa mashtaka yao kwa nguvu sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo viongozi wa makuhani na walimu wa Torati walikuwepo wakitoa mashtaka yao kwa nguvu sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakuu wa makuhani na waandishi wakasimama wakamshitaki kwa nguvu sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Makuhani wakuu na waalimu wa sheria wakajitokeza mbele, wakatoa mashtaka yao kwa nguvu sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini watambikaji wakuu na waandishi waliosimama hapo wakajihimiza kumsuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakuu wa makuhani na waandishi wakasimama wakamshitaki kwa nguvu sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa wa makuhani na walimu wa Sheria waliokuwa pale wakatoa mashitaki makubwa sana juu ya Yesu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakasimama makuliani wakuu na waandishi, wakimshitaki kwa nguvu.