Luke 23:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Herode na Pilato, ambao hapo awali walikuwa maadui, tangu siku hiyo wakawa marafiki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku hiyo, Herode na Pilato wakapata urafiki; kabla ya jambo hili walikuwa na uadui kati yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi siku ile ile Herode na Pilato walipatana kwa urafiki kwa maana hapo kwanza walikuwa na uadui wao kwa wao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nyakati za nyuma Pilato na Herode walikuwa maadui daima. Kuanzia siku ile wakawa marafiki.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Herode na Pilato, ambao hapo awali walikuwa maadui, tangu siku hiyo wakawa marafiki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Herode na Pilato, ambao hapo awali walikuwa maadui, tangu siku hiyo wakawa marafiki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku hiyo, Herode na Pilato wakawa marafiki, kabla ya jambo hili walikuwa na uadui kati yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku hiyo, Herode na Pilato wakawa marafiki; kabla ya jambo hili walikuwa na uadui kati yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi siku ile ile Herode na Pilato walipatana kwa urafiki kwa maana hapo kwanza walikuwa na uadui wao kwa wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Herode na Pilato, ambao hapo awali walikuwa maadui, tangu siku hiyo wakawa marafiki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ile Herode na Pilato walianza kuwa rafiki, maana siku zilizopita walikuwa wanachukiana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi siku ile ile Herode na Pilato walipatana kwa urafiki kwa maana hapo kwanza walikuwa na uadui wao kwa wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ile Herode na Pilato waliokuwa waadui tangu zamani, wakageuka kuwa warafiki.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ndipo Herode na Pilato wakapatana, siku ileile; kwa maana kwanza walikuwa na uadui wao kwa wao.