Luke 23:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, nitaamuru apigwe viboko, halafu nitamwachilia.” [
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo nitaamuru apigwe mijeledi na kumwachilia.” [
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo nitamrudi, kisha nitamfungua. [
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa hiyo, baada ya kumwadhibu kidogo nitamwacha aende zake.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hivyo, nitaamuru apigwe viboko, halafu nitamwachilia.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, nitaamuru apigwe viboko, halafu nitamwachilia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo nitaamuru apigwe mijeledi na kumwachia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo nitaamuru apigwe mijeledi na kumwachia.” [
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo nitamrudi, kisha nitamfungua. [
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, nitaamuru apigwe viboko, halafu nitamwachilia.” [
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, nitampiga, kisha nitamfungua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo nitamrudi, kisha nitamfungua. [
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi nitaamuru apigwe fimbo, na kisha nitamufungua.” [
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi nikiisha kumrudi, nitamfungua.